smartfocus najua kwa uhakika kitu gani nauliza. Sina nia ya kuchafua reputation ya taasisi za watu. Na nilichouliza kinawahusu eGA na sio site zilizohostiwa nje ya eGA.Sio website zote za ".go.tz" zinahostiwa ega.fanya kazi kidogo kutafuta zinapohostiwa.km wewe sio IT achia wenye fani zao usichafue reputation ya taasisi za watu.siasa za kukurupuka na kuchafuana ishapitwa na wakati.
Km hujui kitu uliza isifanye conclusion isiyo na facts zenye evidence.