snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,303
- 1,801
Habari inayosumbua mtaani ni kuhusu simu feki, na serikali nayo imeshindwa kuweka wazi (kwa uzembe/kutokujua) baadhi ya mambo kuhusiana na IMEI numbers vs Mobile manufactures.
Asilimia kubwa ya wananchi Tanzania ni watumiaji wa vifaa vya Tecno, na hii imechangiwa sana na umaskini pamoja na ukosefu wa elimu kwa wananchi walio wengi hapa Tanzania, ama wengine ujinga.
Nimewahi kuelezea hapa [Sababu zinazoifanya Tecno iwe kampuni isiyojitambua/kujielewa] sababu zinazofanya Tecno iwe kampuni isiyojitambua au kujielewa na hii ilihusisha sana kushindwa kuweka wazi mambo mengi yanayoihusu kampuni hiyo.
Serikali/TCRA
Kigezo kinachoangaliwa sana na serikali kuhusu simu feki ni IMEI number pamoja na BRAND NAME/JINA LA SIMU, kwamba mtu akipewa taarifa kupitia imei zake akiona ni Iphone 6 wakati simu ni Samsung basi ajue hiyo simu ni feki. kama ilivyoelezewa hapa chini na members wenzetu wa humu JamiiForums.
Hapo maelezo yote yanalenga Jina la simu yaani kama jina la simu ni kampuni X wakakwambia Y ujue hiyo ni fake, kitu ambacho sio KWELI.
UPOTOSHWAJI UNAPOJITOKEZA
Simu zinazoitwa iTEL mfano ni huu
IMEI info ya hizo simu huwa watumiaji wanapewa sms ikielezea TECNO TELECOM LIMITED, Hapo mtu akiangalia brand/jina la simu yake akiona ni ITEL na TCRA wamempa sms ya TECNO TELECOM basi huwa wanachanganyikiwa sana.
Wasichokijua hawa wananchi wakawaida ni kwamba iTEL inamilikiwa na TECNO kwahiyo IMEI info za simu ya ITEL kuitwa TECNO TELECOM LIMITED haina maana ya kuwa simu ni fake.
Hapo wananchi wanakuwa wamedanganyika na kupata hofu zisizo na msingi, hivyo Serikali/TCRA pamoja na members wa JamiiForums wanazidi kupotosha wanyonge.
snipa 2016