Chizi Maarifa JF-Expert Member Jul 29, 2013 10,522 24,010 May 25, 2016 #1 Nina modem ya zaman ya Zantel bado mpya sikuitumia sana ningependa kujua namna ya ku iunlock ili iwe universal .naomba nielekezwe au nipewe msaada
Nina modem ya zaman ya Zantel bado mpya sikuitumia sana ningependa kujua namna ya ku iunlock ili iwe universal .naomba nielekezwe au nipewe msaada
jun bao Senior Member Jan 13, 2016 154 41 May 25, 2016 #2 Tuma picha au model niumber yake hapa tuiyone kwanza