Area gani ya IT inalipa vizuri na soko la maana

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
Habari za leo wana JF.
naombeni mnijuze eneo gani katika IT lina soko yani ajira zake zipo za kutosha.
naombeni mniambie ili niweze ku specialize kwenye hilo eneo.
mimi mwanachuo nahitaji mnipe mawazo ndugu zangu.
Natanguliza shukrani.
 
Sasa mkuu kam wewe ni mwanachuo,unayatakia nn tena hayo madude? Au unasomea IT?
 
Mkuu kuna vitu vingine ni vipaji najua ukimaliza chuo mwaka wa tatu utakua ushafaham wewe uko vizuri upande upi...

Namaanisha mwamba
unaweza ukaona software engneering inalipa ila sasa ukawa mvivu au pia usiwe creative kwenye kuandika codes utapoteza muda wako bure tu maana vitu kama coding ni feelings kutoka ndani ndio utaqeza fanikiwa

Pili unaweza ona labda project management au IT strategy formulation hazilipi lakini ukaona unavielewa zaidi na ukivipenda ukiamua kuweka moyo wako huko na efforts zitakutoa

So mwisho wa siku sio kitu gani kinalipa ni kitu gani waweza fanya kikafanyika
 
nashukuru mkuu, sidhani kama kuna uvivu kqenye kuzisaka cash. hilo ni jambo lisilowekana
 
inatakiwe uwe mchafu potepote mm nimemaliza diploma ODSC now nasubiri mwezi wa kumi degree Ila network deployment ,programming languages php,visual basic 6,html,css niko vizuri, troubleshooting, maintanance pote hapo niko mchafu so degree naenda ongezea language nyingine
 
good
 
nashukuru mkuu, sidhani kama kuna uvivu kqenye kuzisaka cash. hilo ni jambo lisilowekana
Hapa ndipo wanafunzi wanapokwamia, siku zote follow your passion kuwa happy kwa kitu unachofanya mwisho wa siku hela zitakuja tu. Ukitanguliza pesa mbele hutafurahia kazi unayofanya na mwisho wa siku hutafanikiwa
 
nimejifunza kitu mkuu.
 
Back
Top Bottom