Sijajua inakuajekuaje lakini tangu waanzishe hii kitu ikifika hiyo mida ya saa sita huwa natumia youtube, playstore, na naperuzi website yoyote na kudownload kupitia browser ya chrome na...
Wadau angalieni ujumbe huu chini hapa.
May the peace of God be with you and your family!!
I want to inform you that your bank draft cheque of 300,000 dollar is now with United Bank for Africa...
Salaam,
Ni email account yangu ya muda mrefu sana, sija log in kwa miezi kadhaa, sasa kuna document muhimu nataka kuifoward mahali naambiwa haitambuliki... msaada tafadhali. Nimejaribu kucheki...
Betri inapobaki asilimia ngapi ya chaji inafaa kuchajiwa tena?
Mwendo kasi wa kuchaji simu ya mkononi unabadilikabadilika. Baadhi ya wakati unaichaji simu yako kwa muda mfupi lakini inaweza...
Habarii za asubhii wadau.....shida yangu ni naweza pataje apps ambazo play store lazma ulipie ila kwa free bila kulipia.....njia gani naweza tumia kuzipta.....
Salam wakuu,
Habari za asubuhi?
Natumaini kwema wakuu. Ningependa kushare site ya kudownload mp4 mobile movies japo ziko nyingi Ila personally naikubali sana hii.
As you know wakuu sisi...
Nahitaji PeopleSoft FSCM kwa ajili ya kujifunzia, ningependa kupata zile VM images zinazotolewa na Oracle kwenye site yao (Hakan Biroglu: Installing PeopleSoft 9.2 pre-build virtual machine), sema...
Habari!
Wakuu naombeni msaada wenu.
Mimi natumia decoder ya x master q16.
Sasa kwa sasa software yake imekwisha muda wake...sasa je naweza elekezwa jinsi ya kuidownload update software na kisha...
natumaini wote salama..
wakuu naomba msaada natafuta mtu ana provide server channel za iptv hasa chanel za bongo ndio muhim kwangu / sitaki application za bure wala links za bure nataka mtu anatoa...
habari wakuu,
juzi nilijaza wino kwenye printer yangu ya epson l800 lakin ghafka ikaanza kutoa picha za kufifia na hainipi meseji yoyote kama kuna tatizo.
naomba ushauri wa nini nifanye.
Nilitumia avg program baada ya kubadili line cm ikajilock, kwa bahati mbaya ipo offline nimejaribu kurudisha line ya awali bado inadai password nikiweka password haikubali. Msaada please kwa ajuae...
Habari zenu wadau,
**Niliweka thread ya kwanza naona haikuwekwa hewani labda kuna yasiyowapendeza mods, kwa hyo hii ni edited, kwa ambao hawakubahatika kuisoma ya kwanza idea ilikuwa ni facebook...
Wadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio...
Vitu vyote vinavyohusina na simu kutoka kampuni ya Simu vya simu yao mpya aina Samsung
galaxy Active inakuja kama mwendlezo wa simu waliyoitoa tayari ya Samsung galaxy S7 Vimevuja.
Tetesi...
Nahitaji software yenye database kwa ajili y pharmacy.
Nataka nianze ku-store information digitally kuhusu bidhaa zilizotoka, zinazoingia expiration date na mauzo kwa ujumla.
Microsoft Corp announced morebig cutsto its smartphone business on Wednesday, just two years after it bought handset maker Nokia in anill-fated attempt to take on market leaders Apple and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.