sameerkhan
Member
- Nov 5, 2015
- 97
- 34
Habari zenu wanajamvi.
Mimi ninatumia simu aina ya techno c8 niliiroot kwa kutumia app ya kingroot na ikafanikiwa kufanya kazi, lakini tatizo linalonisumbua ni kila baada ya saa moja hivi inajirestore ghafla sijajua tatizo nini.
Ninahitaji msaada wenu pia nikitaka ku unroot nafanyaje??
Nawasilisha ahsanteni