Msaada simu yangu haingizi meseji wala kutuma

Gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,246
413
Habari za siku wakuu?
Natumai ni wazima wa afya kabisa,

Kama title inavyojieleza naomba msaada nina siku ya tano kama sio ya sita meseji hazingii wala hazitoki
Kama kuna Code au pin za kufungua anisaidie
-Nimebadirisha simu lkn haijasaidia
-nimechek center number pia bado


Asante!!
 
Mimi simu yangu samsung note 3 haisomi memory card inaandika inset card lakini mwanzoni ilikuwa inasoma sasa sijui tatizo ni nini
 
Usihangaike fanya kuiuza tuu hiyo simu kama upo dar nPM tufanye biashara wew rudi kununua simu mpya...mie hiyo naitaka ntaifanyie makeke chakufanya niambie bei yake ngapi
 
khamis kilocenterost: 16290947 said:
unatumia mtandao gani? tukupe center number


Natumia Voda lkn center number ipo poa
 
Nashukuru wadau nimefanikiwa pia kwa msaada wa code
#33*0000*16#
#35*0000*16#
 
Nashukuru wadau nimefanikiwa pia kwa msaada wa code
#33*0000*16#
#35*0000*16#
Hizi codes zinaweza kutumika kulingana na aina ya Simu au Mtandao?
Au zinaweza kutumika kwa simu zote na Mitandao yote?
 
Ni kweli ni call barring lkn ni code za meseji
Kwaajili ya calls unatoa hizo 16 unamaliza na #
 
Back
Top Bottom