My HTC first mobile phone for those who know it has this problem of not able to share internet connection through Tethering and portable hotspot... Although it has all the options except Bluetooth...
Kampuni ya hp baada ya mafanikio makubwa inayopata kwa computer zake (desktop/laptop) pamoja na vifaa vingine kama tablets n.k soon mwezi wa sita watatoa simu yao matata sana inaitwa hp elite x...
Hello Guys...
Am having trouble to remove a write protection on my flash drive.
I have tried changing the attributes, modifying the registry to 0...so if there is anyone who knows any other way of...
Nimehangaika toka asubuh sijafanikiwa kupata solution. nmenunua CABLE YA HDMI ili niwe na connect laptop kudisplay kwenye TV SAMSUNG sijafanikiwa. my laptop ni toshiba c850 windows 7 32 bit ndo...
Enter SIM ME lock code [NP](Attempts remain 10,
INASEMA HIVYO , HYO NI BAADA YA KUWEKA LINE ZOTE 2 NA KUIWASHA INANIULIZA HIVYO ,
NIKIWEKA TIGO TU, HAIULIZI HIVYO.
Msaada wakuu.
Habari wakuu, nimekua nikijaribu kuinstall whatsapp plus, GB etc. Makini hii error imekua ikijitokeza:
App not installed. An existing package by the same name with a conflicting signature is...
Wasalaam.
Mwenye uwezo wa kunisaidia hili tafadhali, nimedownload movie lakini ili kuifungua inanilazimu niwe na password na wametoa na link ambayo kupitia hiyo nitapata password lakini kila...
Kuna jamaa hua wananitumiatumia code zao humu jf nazicheki sasa nimekutana na hili tatizo many times sijui kwa nini.
Em angalia hizi for loops mbili, zote zinafanya kazi moja ila jaribu kuniambia...
Ni siku kadhaa sasa najaribu kutoa kiasi cha pesa kutoka akaunti yangu ya crdb bila mafanikio nimejaribu kutoa kupitia mpesa na fahari huduma kupitia simbanking bila mafanikio ,ninafika had kwny...
Nimejaribu kujisajili kwa Google Adsense ila wamegoma kwa sababu ya lugha pamoja na na post zangu zina picha nyingi.
Nifanye nn ili niweze kuweka Adsense kwenye blog ya Kiswahili?
Hello Friends,
Convert Ur Android Phone Into ATM [emoji298]Great news!!!
Now u can do big - Hello friends...Great news!!! Earnings thru ur mobile...
Your mobile can gives you different types of...
Habari wakuu,
Kwanza nifanye declaration kuwa mimi sina utaalamu sana kwenye mambo ya networking. Ninafungua ka ofisi kadogo ila nimetengeneza rough diagram lakini naomba ushauri kama ni kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.