Msaada jinsi ya kushare link za hulkshare katika blog

Msaada jinsi ya kushare link za hulkshare katika blog

kwachu

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
37
Reaction score
14
Nimeshafungua acount ya hulkshare nakuweka baadhi ya sauti nizitakazo shida nipale ninapotaka kushare katika blog yangu ndio ninapokwama.
Kushare katika facebook na twitter naweza
Msaada wenu Wakuu
 
Back
Top Bottom