Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
63
Wana Jf,
naombeni msaada nime attach hapa word doc kuna maneno nataka kuyaedit yananishinda, naeditije na je ni software gani imetumika kutengeneza hayo maneno. Natanguliza shukrani.
 
Attachments

software ni adobe illustrator au word unaweza kutengenezea alf mbona kwenye word unayaedit tu vizuri yanakubali apa unataka kuandika/ kuedit nini ?
 
Wana Jf,
naombeni msaada nime attach hapa word doc kuna maneno nataka kuyaedit yananishinda, naeditije na je ni software gani imetumika kutengeneza hayo maneno. Natanguliza shukrani.

tumia MS word; Hapo wametumia Shapes (Auto shapes) na kibaya zaidi kila neno Herufi (alphabet) inajitegemea. angalia attachment.

wedi.JPG
 
Nashukuru wakuu nilifanikiwa kuya edit kwa kutumia powerpoint
 
Kunahaja ya kuanzisha uzi wa namna ya kutumia Microsoft Office tafadhari mwenye uwezo huo aanzishe.
 
Back
Top Bottom