Kinachowagharimu Tecno Ni Kitu Kidogo Tu

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,291
2,468
Nacho Ni Aina Au Staili Ya Maandishi Wanayotumia (font) Kwenye Jina La Brand Za Simu Zao. Hivi Katika Font Zote Duniani Jamaa Wameona Ile? Ni Mbaya Kwa Kweli Hadi Inapoteza Ubora Wa Simu Zao. Tecno Jipangeni Tena Mje Na Font Ya Maana Na Muone Kama Hamjakimbiza Sokoni. Ila Msinisahau
 
Kinacho waponza ni kutokua wawazi kwa wateja zao, wanatoa specification ambazo hazipo wazi na pia haziendani, watakwambia RAM ni 2gb lkn hawasemi ni aina gani ya ram,

Pia wana GPU kimeo ukiachana na chipset wanazo zing'ang'ania

Poor optimization..

Tecno wanafeli kwa mengi
 
Back
Top Bottom