Window explorer has stopped working

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Najua wengi ni watumiaji wa OS ya window ikiwemo xp,w7,8,8.1,10n.k leo tujadili kuhusu hili tatizo kama linavyojieleza kwenye title hapo juu .
Kwa namna ninavyofahamu
Tatizo hili usababishwa na kitendo cha kutokuruhusu update hii ina maana wakati pc inapotaka kuaupdate baadhi ya program wengi wanashut down unsafely hatimae kuzuia some update kuwa installed
Hivyo wakati unafungua program labda games au vlc kwa ajili ya kuplay au ms word kutype pc inakuambia "window explorer has stopped working "halafu inakuambia close program
TROUBLESHOOTING
UKIWA NA PROBLEM KAMA HILI FANYA YAFUATAYO
KAMA UNA DRIVER PACK SOLUTION RUN ALAFU INSTALL UPDATE SIO DRIVERS.
KAMA HAUNA DOWNLOAD COMBOFIX.EXE ALAFU RUN FUATA INSTRUCTION RESTART PC THEN JARIBU KUFUNGUA HIYO PROGRAM ULIYOTAKA KUIFUNGUA ITAFUNGUKA VIZURI.
IMPORTANT:
Kuna malware,trojan na virus haya yanaweza kuwa sababu pia kwa hili run antvirus/malware byte kisha scan full scan pc yako itakuwa vyema ila njia nzuri ziko hapo juu
KWA WANAOFAHAMU ZAIDI TUSADIANE NI HAYO TU .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom