mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,240
- 1,794
Wakuu tuelimishane kuhusu web browser ni ipi iko vizuri na unapenda kuitumia kwa sababu ipi, je extensions zinazoweza kutokea kwenye hiyo browser unazipenda na kama huzipendi unachukua hatua gani kuziondoa kama huwezi tunapeana solution hapa
Mimi binafsi napenda google chrome kwenye pc yangu kwani naweza play video au movie yoyote bila kuinstall adobe flash player na pia nina uwezo wa kuitumia kama media ya vlc kuplay movie zangu vipi wewe ?