Kama umebadulisha line basi inabidi ukabadili kule kwenye setting kulingangana na mtandao husikandio ilikuwa inaonyesha yaan ghafla tu haionyesh miez kibao sasa
Unatumia line gani?!jaman wandugu habari zenu simu yangu aina ya be model:UNO20 haionyesh alama za data pale juu lakini data zinawaka kama kawaida lakini huoni 3g,h+ wala nini na internet haifungui msaada tafadhali