Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
habari wakuu natumai tupo poa bt naomba natumia laptop Dell Latitude|E6400 mwanzo nilipotoka nayo dukani ilikuwa inaconnect Wi-fi bila shida yeyote lakini windows yake haikuwa Gunien hivyo nikapiga windows mpya lakini baada ya kupiga windows mpya imeleta hili la kushindwa kuconnect Wi-fi wireless naombeni msaada wenu kwa wenye kufahamu jambo hili