Tumia NitroSalama wenzangu na mimi.
Naomba mwenye kujua software inayoweza ku convert pdf file kwenda excel anijuze.
Asante, ni kubwa sana(page 980) naona imegoma inadai inachukuwa muda sanaConvert bure online. www.smallpdf.com
Asante kaka. Ina convert pdf to excel?
Asante kaka. Ina convert pdf to excel?
Ok wait nikuchekie hapa
Angalia, nyingi huwa zinadai malipo hata adobe, though zipo ambazo ni freeware pia.Salama wenzangu na mimi.
Naomba mwenye kujua software inayoweza ku convert pdf file kwenda excel anijuze.