Natafuta simu mpya ushauri plz

Natafuta simu mpya ushauri plz

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
Habari wakuu!

Natafuta simu mpya inayo suppot 4G, bajeti yangu ni tsh 200,000/= lakini sijajua ni brand gani nitapata kwa sifa na bajeti hiyo... nipo dar!

Msaada tafadhali kwa mwenye kujua.
 
Habari wakuu!

Natafuta simu mpya inayo suppot 4G, bajeti yangu ni tsh 200,000/= lakini sijajua ni brand gani nitapata kwa sifa na bajeti hiyo... nipo dar!

Msaada tafadhali kwa mwenye kujua.
Kanunue tecno h6 hautajutia uamuzi wako
 
then ikipanda hio bei na j2 itauzwaje? akikuta ni bei ghali zaidi ya hio ni bora aachane nayo

Kwa hiyo mkuu kwa hii laki 2 napata J1 kwenye maduka ya Samsung kabisa au ni bei ya mkononi bro...?.

Thanks a lot.
 
Kwa hiyo mkuu kwa hii laki 2 napata J1 kwenye maduka ya Samsung kabisa au ni bei ya mkononi bro...?.

Thanks a lot.
mpya mkuu, duka la samsung sijui hata kama wanazo, itabidi utafute maduka ya watu binafsi inaweza ongezeka elfu 10 au 20 sio mbaya ila ikizidi hapo ni bora j2 kwa 250,000 hadi 300,000.
 
haina 4g mkuu halaf h6 c ya toka 2014? au wametoa nyngne mkuu
sasa wewe unataka simu ya kisasa yenye 4g kwa 200,000/- budget yako ni ya h6 , vinginevyo subiri uingizwe mjini
 
Naomba msaada jamani anayejua bei ya samsung galaxy s6 na s7 anisaidie. Na vipi ubora wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom