Popo bawaa
Member
- Apr 19, 2016
- 47
- 2
Msaada kwa mwenye kujua ntawezaje kudownld apps zenye mb zaidi ya 100 katk simu yangu ya iphone.
Mfano wa hiyo App unayotaka kudownload????
Connect na WI-FI
WI-FI nitaiconnect vipi? (Subiria hili swali mkuu)
WI-FI nitaiconnect vipi? (Subiria hili swali mkuu)
Aaah braza c nta tumia cmu y mtu mwngn
Aaah braza c nta tumia cmu y mtu mwngn