MSAADA: Mwenye kuelewa kuhusu namna ya kupata pesa kwa kupitia facebook na Instagram

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,738
24,235
Nimekuwa naona post kadhaa humu zikionesha faida wanazopata wenye page za Facebook, Instagram nk kuwa wanapata faida au kunufaika kuyokana na matangazo au viewers wanaotembelea page hizo.

Hivyo basi napenda nijue ni njia gani nitumie ili na mimi ninufaike na wanaotembelea ukurasa wangu wa facebook kuangalia kile nilichoweka kwa ajili yao?.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom