Nilipost naomba msaada Wa Mozilla Firefox haifunguki na yapata wiki tatu sasa sijapata msaada huo. Kimsingi nimechukizwa sana na kitendo hiki ila Post zenye misaada ya Techno ndo zina comment...
Habari njema watumiaji wa windowphone sasa kuna VPN japo ilikuwepo muda mrefu ila hii ya sasa kiboko, unachagua hadi nchi utakayo.
na kwa mara ya kwanza naweza ona online tv za marekani kama...
Wakuu nimekua nikijiunga na Offer ya Kifurushi cha Halotel cha week kwa mda wa miezi 3 sasa na nimekua natumia vizuri tuu Hotspot.
Tatizo limeanza Jana nilipokuta kuna mabadiliko ya Vifurushi vya...
Msaada wenu wadau,nimefanya restore ya simu yangu,nimefungua google account mpya..kila nikitaka kudowload application inakataa.Naomba kama kuna app zaidi ya hii aiweke hapa hii imenishinda!
Naombeni msaada anayeweza jua app inayoweza kucompress movie, folder, music zikapungua ukubwaa iwe kwenye android device au PC.
Nimejaribu kugoogle lakini sijafakiwa.
Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na
Inaoperate vizuri tu.
Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka.
Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana.
NB: Nimeangalia kupitia...
Ninataka kutengeneza online store nipeni ushauri maana kuna app wakati naipublish kwenye google store mwisho niambiwa niandike url ambayo app hiyo itapatikana yaani online store na mimi sina website
wadau mko poa ?
kama kichwa juu kinavyosema mimi kwa upande wangu namashaka na simu za TECNO kwa sababu weng wanaoomba msaada humu jf,fb & whatsapp ni kuhusiana na simu hz ni mara chache kuona...
Msaada kidogo wadau mie sio mtalaamu sana wa laptop ila ila Nina laptop yangu moja yakizamani zamani aina ya Dell Latitude d620 inanisumbua sana battery naweza kupata wapi? Kama utajua na bei...
hebu nisaidieni wadau
Hii PC yangu nilijaribu kuinstall GTA 4 vice city game lakini baada ya Kuinstall hili game nilipojaribu kulifungua linagoma inakuja Meseji ya "not enough video memory"
sasa...
accounts za adsense zinauzwa kwa bei ya sh 10000 kwa kila accounts na kama unataka nyingi i mean zaid ya moja tunaweza kuingia patnership kila baada ya siku 3 nakutengenezea accounts as many as u...
Wadau hivi simu yangu ndo setting haziko poa au coz nikiweka line ya halotel sipati hotspot ili kuweza kutumia net ya simu kwenye laptop, sijajua tatizo ni nini ila natumia iphone 5 au kwa iphone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.