Nahitaji Desktop with core i3

300k machinga complex, au tafuta core 2 quad ambayo inacompete na hata kuizidi i3 (1st, 2nd na 3rd gen) kwenye multicore. hizi za core 2 quad ni chini ya laki 2 ukitafuta

ila kama unataka kwa ajili ya games komaa upate i3 atleast 2nd generation sababu games single thread ni muhimu
 
iwe i3 2100 3.1gh atleast
ila kama unataka kwa ajili ya games komaa upate i3 atleast 2nd generation sababu games single thread ni muhimu[/QUOT
 
300k machinga complex, au tafuta core 2 quad ambayo inacompete na hata kuizidi i3 (1st, 2nd na 3rd gen) kwenye multicore. hizi za core 2 quad ni chini ya laki 2 ukitafuta

ila kama unataka kwa ajili ya games komaa upate i3 atleast 2nd generation sababu games single thread ni muhimu
isiwe less than i3 2100 3.1gh.. natafta i3 kwanza ili niwe na option ya ku upgrade badae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom