Msaada tafadhali, simu imeshindwa kuwaka

Geezzle

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
849
267
wanajukwaa naomba msaada wenu.. hivi simu mpya kushindwa kuwaka licha ya kuichaji kwa almost masaa ma4 inatokana na nini? ni tecno c5
 
Back
Top Bottom