Msaada wa screen ya LED Singsung TV 24

KUGS

Member
Mar 28, 2013
45
9
Nina tv flat LED SINGSUNG imevunjika kioo, nimetafuta kioo kingine kwa huku Mbeya imeshindikana, kwa yeyote anayeweza kunisaidia hata kwa information napataje kioo hicho ili niweze ku replace tafadhali.
 
Me mwenye hapa natatizo kama lako hapa,ila me tv yangu ni hitachi hapa kioo chake kinatoa misital kana kambaa kioo kina karibia kufa.sasa jana nimekwenda kwa mafundi wamaniambia naweza kupata ila bei yake kuanzia laki unusu mpka tatu
 
Kuna fundi kanambia kimepatikana hv now nampelekea akabadilishe akifanikiwa nitaku inform, we uko wapi?
 
Back
Top Bottom