Msaada: Kioo cha flat screen ya Boss inch 39 kimevunjika!!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,550
31,771
Leo katika kuhamisha vyombo nimekuta tv yangu imecrack na haioneshi kitu!!
Naomba msaada wapi nitaweza replace hiki kioo na gharama zake!!

Natanguliza shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom