Tatizo hilo ni dogo kabisa na haliitaji kusumbuka..
Kwanza, unatakiwa uwe na Email (barua pepe) na uweze kuisajili ktk sim ili kupata access(uwezeshaji) wa simu yako na kwa matumizi ya setting za application ni lazima uweze kuwa na email.. Blackberry w0rld inahitaji privacy yake kwa mtumiaji husika wa simu. Kwahiyo ni lazima uwe na email
Pili, unakwenda ktk options>device>blackberry I'd hapo utafanya usajili kamili wa simu yako.
Tatu, nenda sehemu ya setup ambayo ipo ktk home screen(mbele ya icons) ya simu yako kisha Email account, ingiza email yako, ikikubali basi umemaliza tatizo..
Mengineyo; ni ku sajili ktk mtandao husika na kujiunga na kifurushi cha absolute(kamili) kwa mara ya kwanza ili simu iweze kusajiliwa ktk mtandao.. Baadae unaweza kujiunga na kifurushi cha kawaida cha social (zogo) na pia unaweza kutumia vifurushi vya kawaida na is lazima vya blackberry... Enjoy!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.