Wana body salaaam, Leo nimeingia humu kuomba msaada Nina modem ambayo inanisumbua jinsi ya kutumia najaribu kuweka line lkn inasema sim not supported lkn ni universal anayefahamu naomba msaada
Hiyo Modem yako iko locked na three uk network. Kama kawaida yao hii company ya three product zao wakizilock si rahisi kwa mtu yeyote kuzi unlock mpaka wakufungulie wenyewe. Kwa hivyo hakuna suluhisho la rahisi isipokuwa uirejeshe ulipoinunua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.