Tony guy
Senior Member
- Sep 29, 2015
- 107
- 44
Husika na Kichwa hapo Juu Mimi ni mmiliki wa website moja ya movie, katika website yangu mtu anakuwa analipia kiasi fulani kwaajili ya kuwa member katika website hiyo sasa nimekaa nikafikiria hili niwatendee haki wateja wangu ni bora wawe wana peruzi na kudownload movie bure kabisa yaani hata asipo kuwa na mb awe ana uwezo wa kuingia katika website na kufanya anacho hitaji, sasa nyie kama member wa JF naimani mnajua vitu vingi sana ningependa kujua hiyo system ya mtu awe anaperuzi kwenye website yangu hata asipo kuwa na mb inapatikana? na inapatikana kwa mfumo hupi?
CHIEF MKWAWA
CHIEF MKWAWA