Msaada jinsi ya kufungua

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
274
Wanajamvi habari za Leo
Natumai mu wazima wa afya

jamani leo naomba msaada namna ya kujiunga skype maana najaribu nashindwa
Namna ya kuandika majina yanatakiwa yawe na maneno mangapi (hasa skype name)

Na namba za siri ziwe ngapi
mwenye uelewa na hili anisaidie.
 
sikumbuki password iwe na maneno mangapi lakini lazima mwanzo iande herufi kubwa na mwishi imalizikie na namba
 
Back
Top Bottom