Msaada kuhusu kuroot simu

Nizzoh824

JF-Expert Member
Apr 27, 2016
239
140
Habari zenu wakubwa

Ni muda sasa nimekua nikisikia watu wanasema kuhusu ku root cm lakini sielewi kwasabababu ni mgen katika hivi vitu hivyo jamani nlikua naomba mwenye ufahamu na hivi vitu kwamba unapo root simu unaipa uwezo gani?, pili jinsi ya kutambua kama simu ni rooted na tatu jinsi ya ku root, ni hayo tu

Asubuh njema
 
Back
Top Bottom