Ushauri: Nina 200,00 nahitaji smart phone yenye sifa hizi !

CEYLON

JF-Expert Member
Dec 3, 2012
297
130
Camera HD + Camera ya mbele, mtandao 3G, ina support whatsapp, youtube, instagram, inafungua PDF files,ina edit picture,nk .

Ninunue simu gani?
 
hizo sifa kachukue tecno ya laki na kumi tu zinazobaki tugawane sikukuu hii, waranty mwaka na sifa hizo zote unapata na zaidi
 
Tafuta simu yoyote yenye snapdragon 410 kama huawei y550, motorola moto e, galaxy core prime nk
 
Tafuta simu yoyote yenye snapdragon 410 kama huawei y550, motorola moto e, galaxy core prime nk
Nimecheki huawei y550 lakini nimeshangazwa na free storage space Ni ndogo Sana around 2GB.
Sijui kwanini space imekua ndogo hivyo.
 
Nimecheki huawei y550 lakini nimeshangazwa na free storage space Ni ndogo Sana around 2GB.
Sijui kwanini space imekua ndogo hivyo.

umeona sifa anazotaka jamaa pale juu, 2GB zitamtosha sana, sababu sio simu ya kazi anaitaka kwa ajili ya kuenjoy tu, wala asitumie gharama kubwa sana, ushauri tu lakini
 
Nimecheki huawei y550 lakini nimeshangazwa na free storage space Ni ndogo Sana around 2GB.
Sijui kwanini space imekua ndogo hivyo.

huawei wenyewe ndio wanahusika hizo nyengine zina 8gb (4-5gb free)

ila kuanzia android 6 utaweza fanya memory card ziwe internal memory hivyo ukitafuta memory card yenye speed utaipa storage kadri unavyotaka.
 
This guy is not serious...
200,00!!!!!???
Labda ununue gazeti ujipepeeeee ndooooorrrr....
 
Back
Top Bottom