jay_samuel_dunstan
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 3
Tafadhali na hitaji msaada, nina laptop yangu aina ya Lenovo B570e inashida ya Bios, kila napo takata ku access Bios settings, ina load hukuikisema "please wait.......", Then ina boot normaly hiyo inamana Rom Bios za Pc yangu zimekuwa Erase kama ckosei sasa na hitaji kufahamu ni namna gani naweza ku solve hii Issue.