Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,247
- 5,451
Habari za mida .
Katika matumizi ya kawaida ya pc yangu imepatwa na shida hii ambayo mpaka sasa sijajua nini tatizo au chanzo.
Kwa muda nimetumia kucheza games, kusomea na kuvinjari.
Hivi sasa nikiiwasha inaanza kutoa sauti kama feni inazunguka na nikifungua folder inaload pamoja na kukwama hivyo mpaka uizime.
Natumia windows 10 pro.
Model ya pc ni hp probook 440 g3.
Msaada wadau.