Ushindi Daima
Member
- May 4, 2013
- 92
- 27
Hello wana jamvi!
Naombeni msaada maana simu yangu nikiangalia IMEI then hizo namba nikizitima kwenye namba 15090 ya TCRA naambiwa ni BANDIA hivyo niibadilishe.
Simu hii ni products ya TECNO LIMITED inajulikana kama Tecno 8H (DroiPad 8) Tablet.
Niliinunua mwaka jana mwezi wa 8 na kupewa Warranty guarantee ya miezi 12+1 na mpaka sasa receipt na vifaa vyake ninavyo.
Swali: Je nikienda kubadilisha wananikubalia au watakataa ingawa ni Duka lao na Warranty haijaisha muda wake?
Asanteni!