Laptop HP ProBook Masaada

Laptop HP ProBook Masaada

Madiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
426
Reaction score
252
Nina laptop HP ProBook. Herufi za mwisho mkono wa kulia na kushoto kwenye keyboard hazifanyi kazi. Hii nimesababishwa na nini??
Nisaidieni wataalamulaptop
 
hiyo itakuwa keyboard faulty au boot na press F2 uende kwenye UEFI diagnosis tool,scrow down kwenye keyboard hujaribu kutest.Itakupa taarifa.AU jaribu kuisafisha kwa kutumia brush.
 
je hiyo laptop ni model gani pia? tungeweza kukusaidia zaidi
 
Ikishindikana iyo ulivyo ambiwa hapo.nikubadilisha keyboard mpya tu
 
Back
Top Bottom