Msaada: Nimevunja kioo cha tv ya Boss, inch 39

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,537
31,689
Wakuu naomba msaa wapi naweza kubadilisha kioo cha hii tv na gharama zake... Natanguliza shukrani!!
 
Mie nikajua umevunja kioo cha TV ya boss wako, kumbe TV yako ndio inaitwa boss..
Ok poa basi.
Hilo jina la tv ni utata mtupu, amechanganya wasomaji, alitakiwa aandike kuwa nimevunja tv aina ya boss flat skreen. By the way hiyo tv ni mchina, ni mhindi yuko mitaa ya msimbazi annagiza china kwa brand a boss, zipo tv za boss, friji, subwoofer, air conditioner na feni. Nenda barabara ya msimbazi mbele ya mtaa wa congo kama unaelekea mnazi mmoja, upade wa kulia utaona duka la huyo agent mkuu, amekaribiana na agent wa sumsung kama sijakosea
 
Ok asante mkuu... Vipi ana mafundi hapo hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom