wakuu habari yenu, ninatumia pc aina ya dell. nikisearch devices kwa wireless (wifi) device znaonekana ila niki connect wanaandika NetworkUx.ViewModel.SettingEntry. na hata setting hazifunguki. Naombeni msaada juu ya hili,natumia windows 10.natungaliza shukrani zangu za dhati