Mlimandora
Member
- Nov 19, 2015
- 45
- 19
jaman naombeni msada wenu juu ya matumiz ya button iliopo upande wa kulia chin ya button ya kuwashia kwenye hz cm za tecno c5 na c8
Hiyo n spesheli kwa ajili ya kupigia picha haswahaswa selfie! Siyo lazima ushike kwenye screen.....we kibonyeze tu na utakuwa umemaliza kazi ya kupiga picha....jaman naombeni msada wenu juu ya matumiz ya button iliopo upande wa kulia chin ya button ya kuwashia kwenye hz cm za tecno c5 na c8