Msaada wa kuweka banner kwenye blogger

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Wakuu habari, naomba kujuzwa jinsi ya kuweka banners kwenye blogger kupitia HTML CODE au kwa namna rahisi jinsi ya kuweka tangazo kwenye blogger blog, shukrani kwa watakao nifanikisha kujua
 
ngoja tumsubiri chifu mkwawa! lakini njia nyingine tunaweza ku Google na kupata majibu
 
Wakuu habari, naomba kujuzwa jinsi ya kuweka banners kwenye blogger kupitia HTML CODE au kwa namna rahisi jinsi ya kuweka tangazo kwenye blogger blog, shukrani kwa watakao nifanikisha kujua
Kwanza nibidi utueleze kuwa banner yako umetegeneza kupitia nini.
 
Wakuu habari, naomba kujuzwa jinsi ya kuweka banners kwenye blogger kupitia HTML CODE au kwa namna rahisi jinsi ya kuweka tangazo kwenye blogger blog, shukrani kwa watakao nifanikisha kujua
Banner yako kama iko katika mfumo wa picha inabidi hu hii convert iweke katika HTML ambayo itakupatia HTML Code ambazo utazitumia kuziweka kwenye blog yako kwa kwenda kwenye Layout then add gadget then select HTML paste hizo code save. Banner itatokea kwenye blog yako.
 
mkuu kwanza nikushukuru kwa kunipa ujuzi huu,lakini naweza vipi kuibadili picha na kuipeleka katika mfumo wa code,hilo moja ,mbili kwa mfano nataka niweke banner au tangazo katika sehemu ya juu kabisa ya blog yangu naweza vipi au sehemu ya pembeni mwa blog yangu naweza vipi,mfano kama ambavyo unaona haya matangazo katika jamii forum natamanai niweke pia kwangu
 
Matangazo kama hayo ni ya picha hivyo basi tengeneza picha ya bannner yako then nenda layout changua sehemu ambayo unahitaji banner yako au tangazo ilionekana bofya neno "add gadget then choose add photo/picture then upload save. itatokea sehemu unayo hiitaji.
 
Kama. Image banner kuwa makini na pix ....zake... For example leader board banner alwayz zinakuaga ni 728 by 90....px. Etc
 
Back
Top Bottom