Simu kustuck katika logo ya android

Simu kustuck katika logo ya android

Popo bawaa

Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
47
Reaction score
2
Jamani mimi nina simu yangu aina ya huawei Y530 ina tatizo moja, nikiwa naiwasha ina andika neno huawei alafu ina andika android na ndio mwisho wake aw kuwaka hapo.

Msaada wakuu
 
Jmn mm nina cmu yng aina ya huawei Y530 ina ttz moja nikiwa na iwasha ina andk neno huawei alafu ina andk android na ndio mwsho wake w kuwaka hapo..msaada wakuu
Peleka Kwa Fundi Iflashiwe.
 
Tafta memory card ya 4gb, download flash file ya huawei ktk website ya needrom kama cjakosea, ukimaliza kuchukua dload weka ktk memory card, weka kwa cm washa huku umebinya vol+ na vol- kwa pamoja itaanza kuji upgrade, angalizo file lazma linafanane na model ya cm yako...y530 ina files 3 na model 3 tofauti so kuwa makini, unaweza ua cm pia...ukishindwa c tunaflash kwa 15 au peleka kwa fundi aliye karibu nawe
 
Back
Top Bottom