Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
1.Naomba mnisaidie jinsi ya kupdate window katika PC natumia window 7 ultimate kwa pc ya toshiba.
2.Charging sytem inasumbua katika PC yangu yani nikiwa nachaji huwa inasema plugged but not charging so haiingizi hiyo nikiwa nimewasha tu ila ikizimwa huwa inaingiza kawaida vizuri tu au ikiwa ina asilimia kuanzia 90 hata ikiwa on ndo haisumbui inaingia tu, sijui tatizo nini.
3.Kila nikiwa nafungua pc yang inanipa warning katika screen kabla haijawaka full kabisa napokea ujumbe kam huu: Windows script access is disabled on this machine, contact your administrator for details.
4.Mwisho wakuu nisaidieni application ya whatsapp messenger au android yenye whatsapp kwa ajili ya pc mbali na bluestacks.
Naomba kuwasilisha, asante.