Wapendwa naomba mnisaidie kwa hilo nihitaji kuhamisha data toka kwenye simu kwenda kwenye pc lakini nikichomeka usb cable inacharge tu na ukienda kwenye setting ya usb imefaint. Karibuni kwa msaada.
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Cable hii ni ya charge lakini ukiweka kwenye simu inaonyesha usb na unaweza kuhamisha data.Una uhakika hiyo Usb cable ni ya data au ya kuchaji tu?
Hakikisha USB cable unayotumia ni ya DATA.
Utajuaje ni ya data?
Unapochomeka, simu inatakiwa ikuulize USB TETHERING, USB STORAGE, USB DEBBUGING, etc
isipokuuliza basi hiyo usb ni ya kuchaji tu.