General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Wakuu habari.
Nikiwa kila mara nikiangalia simu mpya na specification zake katika website maarufu duniani www.gsmarena.com sijawahi kuona tecno mobile phones na hata tab zao. Nimejaribu hata kusachi kwenye searching spase yao neno tecno walinijibu hawatambua neno hilo. Kinacho nishangaza zaidi kwenye list ya simu walizozihorodhesha kwenye page yao kuna simu nyingi ambazo huku bongo hazijawahi kufika sokoni na sio maarufu huku kwetu mfano WIKO, NIU, GIGABYTE, YU, YEZZ, PARLA, LAVA, INTEX.
Swali langu ni kwamba Tecno phones hazijatambuliwa kimataifa au hazijakidhi ubora unaotakiwa kimataifa??
Naomba wajuzi mtufahamishe.
Samahanini watumiaji wa Tecno, nataka kujua tuu.