jitupori
Senior Member
- Feb 22, 2015
- 199
- 76
wadau simu yangu aina ya samsung galaxy star pro GT 7262 imekuwa haina sehemu ya kubadili mtandao kwenda 3G au 4G zaidi ya mtandao kusoma E mpaka inanikera ila kuna hii sehemu katika cm yng inasema ADD VPN NETWORK xc naomb kufaham kuhusu hy vpN network na kifaa changu nikiweka laini special kama ya voda 4G au tigo 4G mtandao nao unasoma 4G ila nikiweka laini yakawaida mtandao unasoma E kwa hy nlikuwa naomba kujuzwa kuhusiana ya vpN na kwa nn cm yang inachagua line