yilima jerad
Member
- Jan 16, 2016
- 59
- 25
Jamani wataalamu wa kompyuta mpakato naomba msaada.
Nina HP ambayo nilinunua mwaka 2013, first hand.
Toka niliponunua sikuwahi peleka kwa Fundi, yeyote zaidi ya kushusha window Mara moja tu.
Mwaka uliopita mwezi wa 12 ilinionyesha alert kwamba betri Yake imeisha mda wake hivyo natakiwa niibadili.
Nikawa naitumia hivyo hivyo tu, Siku moja nilikua naiwasha ili niandae kazi ,iliwaka indicator tu bila kudisplay kitu chochote Na nikawa nasikia fen tu.
Baada ya kuona hivyo nikaiforce kuzima na kuanplug charge kisha kuchomeka tena na kuiwasha tena haikuwaka tena mpaka Leo ,nilifikiri charger , hapana yenyewe ni nzima kuna MTU nilimuazima.
Wataalamu nisaidieni Mawazo itakua in nini tatizo,?