Ku-sharing Linux folder kwenye kompyuta za Windows

deejaywillzz

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
637
224
Habari wakuu,

Najaribu ku-share folder toka linux kwenda windows. Kwenye windows, folders zinaonekana ila hazifunguki. Zinasema you have no right permissions ila nimeweka permission zote. Natumia samba kushare.

Kama kuna mtu anayefahamu tupeane ujuzi
 
Habari wakuu,

Najaribu ku-share folder toka linux kwenda windows. Kwenye windows, folders zinaonekana ila hazifunguki. Zinasema you have no right permissions ila nimeweka permission zote. Natumia samba kushare.

Kama kuna mtu anayefahamu tupeane ujuzi
Ku-sharing Linux folder kwenye kompyuta za Windows

KWANINI USINGEANDIKA KU-SHARE
 
Kama hutojali naweza kuona permission ulizotoa kwenye file la smb.cfg or samba.cfg. (Nimefanya kazi na unix na linux sikumbuki majina yanavyotofautiana)
 
security = user

[Downloads]
path = /media/user/music/Downloads
guest ok = yes
browseable = yes
read only = no
 
Back
Top Bottom