Galaxy J1 vs Tecno Camon C5

RJ45

JF-Expert Member
May 20, 2014
337
113
Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!!

Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine?
 
Mimi ninayo j1 ila nakushauri nunua C5 maana ni Nzuri na bora,mfano ukubwa na cameraC5 ipo vizuri sana
 
Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!!

Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine?
Ninayo J1, naona network yake haina nguvu sana maana kuna maeneo nikifika inatoweka lakini handset nyingine inakuwa haina shida. Sina uzoefu na hiyo C5
 
Yaani mi vifaa vya Samsung sitakaa ninunue, vinauzwa bei ghali compare with others still have got the same properties
 
nimefanya maamuzi ya kuchukua c5 brand new ni unbox mwenyewe..... msaada mwenye kujua wapi nitaipata kwa bei affordable???
 
Back
Top Bottom