haiwezekani. lumia ni windows na windows haitumii APK. walitarajia kuwezesha hiyo feature kwenye windows 10 lakini wameipotezea.Natumia Lumia 535!
Sure nakumbuka kulikua Na topic humu, alieleza namna ya kubadili android app kwenda Windows, mada ilikua app nyingi za Window phone Ni za kulipia wakati android Ni free, ndo wadau wakaweka maujanja ya kufanya, ngoja ntamcheck Chief! Asante mkuu!inawezekana. mtafte chief mkwawa akupe technic