Msaada: HP ProBook 4520s ina tatizo la button ya herufi D

Teja Junior

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
1,739
1,597
Nina Laptop hapa nimeletewa ina tatizo la herfu D na # ukibonyeza hajifanyi kazi ila herfu nyingine zote zinafanya kazi nime jaribu kufungua lakini bado naona bado tatizo lipo msaada wenu naomba hapo tatizo nini hasa
 
Hiyo itakua carbon ya hiyo herufi D imekufa hapo cha kufanya ni kutafuta keyboard nyingine au utafute ya nje ya usb zipo za kukunja kwa laptop kama hutapata hiyo yake
 
chemsha maji ya moto itie baada ya dakika tano itoe na uipanguse, key bord zte zitafnaya kazi paspo shida vinginevo ipereke kwa DR MWAKA.
 
laptop za probook hp keyboard zake zinkuaga za kigermany....usishangae ? ipo kwenye herufiO tumia onscreen keyboard ujifunze namna ya kutumia hiyo pc
 
Nina Laptop hapa nimeletewa ina tatizo la herfu D na # ukibonyeza hajifanyi kazi ila herfu nyingine zote zinafanya kazi nime jaribu kufungua lakini bado naona bado tatizo lipo msaada wenu naomba hapo tatizo nini hasa
Hujambo Mjukuu wangu?? Nakushauri badili keyboard, au kama uchumi haujakaa vizuri tumia on-screen keyboard

Kama pesa ipo kiasi nunua external keyboard, there is no way unaweza fix herufi moja kwa keyboard

Asante
Babu Kifimbo Cheza
 
Nashukuru kwa majibu yako mazuri mkuu nitafanyia kazi ushauri wako
 
Back
Top Bottom