Jamani kama Kuna mtaalamu wa ku upgrade android version kwa kutumia pc. Tafadhari naomba tuwasiliane. Simu yangu ni samsung s5 sm-g900f. Mawasiliano 0625470735
Hbari wakuu, naombeni msaada wa viswali vifuatavyo!
1. Nin tofauti ya online na offline version?
2. je nikitengenezewa domain/website hapa tz yaan mfano, sungita.co.tz je baaday naweza...
Hii ni simu ambayo nimeitumia kwa muda kidogo
Hivi karibuni kama wiki moja ilikua haiwezi kurecognise namba zilizopigwa, zilizoingia pamoja na missed call lakini ilikuwa selective kwenye namba...
Laptpo imegoma kuitambua simu kwa USB, Nimesumbuka mpaka nimekumbana na virus, asa leo from nowhere nimekutana na kitu inaitwa android wi-fi, very interesting....
Yani una connect internet ya simu...
Nahitaji kununua hiyo simu ila kabla sijafanya hivyo naomba Kujua kwa wale ambao wanazitumia specifications zake zikoje najua ni simu ya mziki ila vipi camera yake, processor, betri charge na...
Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa...
Habari wakuu.
Hope mko sawa kabisa. Hivi naweza kuskiliza radio iwe ni za hapa nyumbani au nje kwa kutumia laptop kama sina internet mfano nnavyoskiliza kwenye simu...?
Kama naweza nipe njia za...
*_TANZANIA JOIN 2DAYSKY_*
Hii ni Kampeni Maalumu ya kumsapoti mwanafunzi wa *_UDOM_* anaeitwa Elisha William anayesoma *College of Informatics*ambaye amefanikiwa kutengeneza mtandao wa...
Habari za mda huu wana jamvi,mimi ni mgeni humu lakini ndo nshaanza kuwa mwenyeji hivyo.Juzi nilikua natafuta laptop nzuri kwa matumizi yangu,katika kupita pita mitandaoni nikakutana na blog moja...
Mwenye utaalamu na haya mambo jaman msaada maana naona kila nkisearch google napata website kibao sasa sijui kuna usalama huko.
Au bora tuu ni download moja kwa moja kutoka kwa hawa official...
Wadau mambo vipi? natumaini wazima! Kuna new social network ambayo bado unupgraded . Wadau hebu pitie www.jamiichat.yooco.org then mfunguke, hapo jamaa alietengeneza aki upgrade na kulipia domain...
Za leo wakuu.. natumai wazima wa afya nyote.
Ni muda mrefu umepita tangu kampuni moja ya india, Ringing Bells izundue simu aina ya smartphone Freedom 251 yenye line 2,processor speed 1.3ghz...