Nataka kununua boom j8, naomba ushauri

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Nahitaji kununua hiyo simu ila kabla sijafanya hivyo naomba Kujua kwa wale ambao wanazitumia specifications zake zikoje najua ni simu ya mziki ila vipi camera yake, processor, betri charge na mengine shukran
 
Nauza boom j8...imetumika 2weeks unapata kila ktu had headphones zake ,charge na kila ktu...0785 503 722(whatsapp or sms ,ucpige)
 
Nahitaji kununua hiyo simu ila kabla sijafanya hivyo naomba Kujua kwa wale ambao wanazitumia specifications zake zikoje najua ni simu ya mziki ila vipi camera yake, processor, betri charge na mengine shukran
Usinunue hiyo simu mkuu.. Trust me utakuja humu unalia...

Kuna thread watu walikua wanalia kuhusu touch sensitivity yake very poor..

Bajet yako ngap utajiwe simu
 
Teno boom j8 , iko sawa na tecno c8 isipokuwa tofauti zake ni tecno booj8 ina ram 2gb, ina 4g, wakati c8 haina hivo nakushauri chukua boom j8
 
Usinunud hiyo simu mkuu.. Trust utakuja humu unalia...

Kuna thread watu walikkua wanalia kuhusu touch sensitivity yake very poor..

Bajet yako ngap utajiwe simu
Bajeti yangu ni Tsh 350000 Mkuu
 
Katafute LG G2 D802 kwa hiyo pesa,hii simu hakuna hata tecno yoyote inayoweza kushindana nayo.
Naomba kuuliza swali mkuu, vipi kati ya iyo J8 na samsung NOTE gt7000. kuna mshikaji anazo zote 2, anaziuza bei moja. ipo inaweza kuwa bora zaidi.
 
Naomba kuuliza swali mkuu, vipi kati ya iyo J8 na samsung NOTE gt7000. kuna mshikaji anazo zote 2, anaziuza bei moja. ipo inaweza kuwa bora zaidi.
Hapo bora huawei y6 pro ambayo utapata kamera kali na betri ya kukaa siku mbili achana na hayo matekno na Samsung clone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom